Kutoa Zakaah Ya Mali Inayoongezeka Kila Mwezi

SWALI: Asalaam Aleikum Niliuliza suali langu siku za nyuma lakini bado sijapata majibu, hivyo naomba kuuliza tena. Ikiwa mtu mali yake inaongezeka kila mwezi, vipi ataitolea zaka? Mfano Mwezi wa Shabaan 1425 alikua nazoTsh 2,000.000. ilipofika Shabaan 1

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: