Utoaji Wa Zakaah Kutoka Katika Mshahara Na Duka

SWALI: Assalam alaykum, mimi ni mwanamke nimeolewa na ninaishi nchini Japani na mume wangu. Swali langu ni mshahara wangu kwa mwezi ni yeni laki moja je ninatakiwa kutoa zakkah kiasi gani? Na pia nina miliki duka ambalo bado halijaanza kutoa faida ni

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku y

Vitambulisho: