Maelezo Kuhusu Hadiyth, “Tengezeni Swafu” Katika Swalaah Ya Jamaa

SWALI: Kuhusu Hadhithi “Tengezeni swafu zenu kwani katika kutengeza swafu ni katika kusimamisha Swalah” Naomba kufahamishwa kama kuna maelezo zaidi, kwa sababu ni wazi kabisa hadithi inaumaanisha kama hamukutengeneza swafu zenu basi hamukusimamisha sw

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: