Hukmu Ya Kupunguza Swalaah Ya Safari Na Kufafanisha Na Kafara Ya Kiapo

SWALI: Assalam Alaykum! Nilikua nasoma kitabu cha usuli Fiqh "Bidaayatul mujtahid wa nihaayatul muqtasid cha Ibn Rushd". Katika kipengele cha hukumu ya kupunguza katika Salaatu safar, baadhi ya wazuoni wamesema "ni wajibu ulio khiyarishwa kwa msafiri

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: