Kumfanyia ‘Umrah Baba Yake - Je Kuna Muda Fulani Wa Kungojea Baada Ya Kutekeleza Yeye Kwanza #039;Umrah Yake?

SWALI: A/A warahmatullah wabarakatu suala langu ni hili je naruhusiwa kumfanyia mzee wangu umra baada ya mimi kumaliza umra yangu na iwapo nina ruhusiwa kuna muda fulani wakungoja? Au naweza kufanya tu nikimaliza na jee kuna masharti yoyote nafaa niya

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw

Vitambulisho: