Inafaa Kutia Niyyah Mbili Ya Kulipa Swawm Na Sita Shawwaal?

SWALI: As-salaam alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Naomba fatwa kwa masuala yangu yafuatayo: Je inawezekeana kwa mwanamke aliyeingia kwenye siku zake (hedhi) katika mwezi wa ramadhani, baada ya ramadhani kumalizika, kufunga ( kulipa ) ramadhani na wakati huo huo (sambamba) kufunga sitatul shawwal? yaani kama piriadi yake ni siku 5 na sitatul shawwal siku 6, akafunga siku 6 kwa kutia nia mbili pamoja? a) kama inawezekana atatia nia vipi? b) kama haiwezekani, ni funga ipi aianze kwanza ? yaani siku alizozikosa ramadhani au anaweza kuanza na sitatul shawwal, badae ndio akalipa ramadhani

JIBU:
Vitambulisho: