Amepata Hedhi Karibu Magharibi Je Alipe Swawm?

SWALI: asalam aleykum,nina suali nataka kuliuliza,nilimaliza period yangu tarehe 1.10.06 na siku ya ijumaa tarehe 6.10.06 nataka kuswali maghrib nikaiyona damu kwa umbali ,haikutoka tena leo tarehe 8.10.06 nimeiyona lakini sio rangi ya damu sasa naweza

JIBU: Sifa zote njema anastahiki Allah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: