Mwenye Deni La Swawm Ikiwa Ana Ugonjwa Wa Kuhitaji Kutumia Dawa Kwa Wakati Bila Kuacha, Afanyeje?

SWALI: Assalam alaikum Ndugu zangu waislamu. Niko na swali kuhusu kulipa deni la swaumu. Mdogo wangu alikuwa mgonjwa muda mrefu myaka kama miwili ilo pitaga alikuwa hawezi kufunga lakini mwaka jana yaani 2006 kwa uwezo wake Allah alipata matibabu akajal

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw

Vitambulisho: