Mama Yake Mzee Amemwita Naye Yuko Katika Swalaah; Akatishe Swalaah?

SWALI: JE MAMA YANGU MZAZI AKINIITA KWA SAUTI KUBWA WAKATI NIPO KWENYE SWALA KISHA NIKAKATISHA SALA HIYO NA KUMSIKILIZA JE INASWIHI KUFANYA HILO AU NIMALIZE KWANZA UKIZINGATIA NI MAMA YANGU NA NI MZEE SANA. NAOMBA JIBU HILI LINANITATIZA

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mp

Vitambulisho: