Kulipa Fidia Kwa Ajili Ya Swawm

SWALI: Ni vipi namna ya kutoa vibaba kwa ajili ya mtu asiyeweza kufunga. Unatoa kiasi chote kinachostahili kwa mara moja au unatoa kila siku moja na kiasi chake?

JIBU: Shukrani kwa dada yetu ambaye ameuliza maswali haya ambayo ni muhimu sana kueleweka vilivyo miongoni mwetu. Na majibu yake ni kama yafuatayo: Fidia kwa mtu asiyeweza kufunga wakati wa Ramadhan wala kulipa baada ya Ramadhwaan. Ikiwa mtu ni mgonj

Vitambulisho: