Kujipaka Vipodozi Wakati Wa Swawm

SWALI: assalam aleikum kwanza ningependa kutoa shukrani nyingi sana kwa alhidaya kwa kutuwezesha sisi waislam kuelewa vizuri dini yetu asante saaana pili nina swali kwa sisi wanawake je kupaka rangi ya mdomo kwa aliefunga swaum ni sawa katika dini yet

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: