Mkojo Ni Najisi Ikiwa Nguoni Au Ardhini – Kuondoa Kwa Maji Au Mchanga?

SWALI Natanguliza Shukrani zangu na pia naomba radhi kama nitakuwa nimetumia utaratibu ambao si sahihi. Nimeuliza maswali haya katika njia ya kawaida; ila itakuwa si vibaya ni+.527iuliza kupitia njia hii huenda nikapata majibu mapema zaidi kwani hal

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Si

Vitambulisho: