Inafaa Kulipa Deni La Ramadhaan Kwa Kuchanganya Niyah Kufunga Swawm Za Naawafil (Sunnah) Kama Dhul-Hijjah?

SWALI: Je inafaa kutia nia mbili ya kufunga Sunnah kama siku za dhul-hijja, na kulipa deni la Ramadhani?

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka

Vitambulisho: