Hongera, umesajiliwa katika Semina ya Hukumu za hijja na umrah kwa njia ya picha

286

Hongera, umesajiliwa katika Semina ya Hukumu za hijja na umrah kwa njia ya picha

Allah (SW) ameswma: Sema: Ati watakuwa sawa wale wanao jua na wale wasio jua? Hakika wanao kumbuka ni watu wenye akili.
[Sūrah Az-Zumar, Aya 9]

kusajili:
Hongera, umesajiliwa katika Semina ya Hukumu za hijja na umrah kwa njia ya picha,Allah awefikisha
Na tunakuletea habari njema kwamba Mtume(SAW) amesema(Yeyote yule anayekamata njia kutafuta elimu, Allaah Atamrahisishia njia ya peponi).

mwenye kujulisha kheri ni kama mfanyaji wa kheri (katika malipo

Tunakualika wewe kuenea wema na kuenea semina hii ma kuwaalika watu kwa kujisajili kupitia na mitandaoni yafuatazo na kuienea kwa channel ya Telegram,wattsap,facebook,tweitter,instagram

Kiungu cha semina kwa Telegram

Kiungu cha ukurasa wa semina

Kiungu cha kusajili

Kiungu cha tovuti ya fiqhi ya ibaadat

Ratiba na miaadi za semina:

semina hii itaanza rasmi tarehe 22 julai. Mtihani huo utafanywa julai 29.

mada za semina zitatumwa tena wakati wa kuanza wa semina ,Tutagawanya masomo hayo 11 kwa siku 6 .  

matokeao yatatumwa baada ya mtihani

Tuma vyeti kwa waliofaulu katila mtihani kwa asilimia 70%
Tuma barua ya shukrani kwa wale ambao walipata zaidi ya 95%

Uaminifu kwa Mungu hufanya kushiriki katika semina hii kuwa sadaka ya kujitolea

Mada za semina:

Tunatakaa kujiandaa kabla ya tuanze semina , Na kuonyesha masomo ya semina;Mada za Semina: Fiqhi ya hijjah na umrah kwa picha ina kusanya  video 11 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa , muda wa semina zimegawanya kwa siku 6 kurejea masomo yote.Tumeamua kukutumia masomo mapema ili uwe na wakati zaidi wa kusoma masomo na kuandaa mitihani.

somo la kwanza: makka na sehemu ya ibada ya hijja

soma

angalia

somo la pili: Hukumu za Hija na Umra

soma

angalia

somo la tatu: Nyakati (mawaaqiit)

soma

angalia

somo la nne: Kuhirimia

soma

angalia

somo la tano: nusuk na Talbiya

soma

angalia

somo la sita: Namna ya kuhiji na kufanya Umra

soma

angalia

somo la saba: Nguzo, Wajibu na Sunna za Hija

soma

angalia

somo la nane: Nguzo, Wajibu na Sunna za Umra

soma

angalia

somo la tisa: Fidiya na hady

soma

angalia

somo la kumi: Mnyama wa kudhahi (kuchinja siku ya Idd)

soma

angalia

somo la kumi  na moja: Kuzuru Madina: fadhila zake na utukufu wake

soma

angaliaLugha za semina
:

 
Telegram - Apps on Google Play أحكام الحج والعُمْرَة