nyumba /Fatwas /zaka /Zakaah Ya Bidhaa Zenye Kuingia Na Kutoka

Zakaah Ya Bidhaa Zenye Kuingia Na Kutoka


SWALI LA KWANZA: Assalaam Alaykum! Nimetatizika kidogo na mambo ya zakaatul Mali. Naomba ufafanuzi katika mambo ya mahesabu. Vipi nafanya mahesabu ya Bidhaa zilizopo ofisini (Closing Stock). Mfano gharama ni: 1) Manunuzi (Purchasing Cost) 2) Bim

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwis