nyumba /Fatwas /zaka /Zakaah Kwa Vitu Vya Matumizi Kama TV, Komputa n.k

Zakaah Kwa Vitu Vya Matumizi Kama TV, Komputa n.k


SWALI: Assalamu alakykum; Natanguliza Shukrani kwa Allaah (Subhanahu wataala) kutupa neema ya uhai na kuwawezesha ndugu zetu kubuni na kuendeleza mtandao wenye manfaa kede kede. Allaah (Subhanahu wataala) ndiye mlipaji. Nimejaribu kutafuta masuala ku

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish