nyumba /Fatwas /zaka /Zakaah Ikiwa Mtaji Unaongezeka Itolewa Vipi?

Zakaah Ikiwa Mtaji Unaongezeka Itolewa Vipi?


SWALI Asalaam Aleikum, Ikiwa mtaji unaongezeka kila mwezi, Je zakah yake itatolewa vipi. Wabillahi tawfik. Asalaam aleikum warahmatuhu llahi. Asalaam aleikum warahmatuhullahi, Kwa kuweka sawa suali nililouliza kuhusu vipi kutolewa zakah kwa mali inayoz

JIBU Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Llaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho