nyumba /Fatwas /utwahara /Wudhuu Unatenguka Ukishika Damu Wakati Wa Kukata Nyama?

Wudhuu Unatenguka Ukishika Damu Wakati Wa Kukata Nyama?


SWALI: asalam aleykum.kwanza kabisa namishukuruni kwa kutusaidia na kutujibu maswali yetu yanayo tupa matata.Mungu amijalie kila la kheri.swali langu mimi nikiwa na udhuu halafu nikikata kata nyama ina damu je udhuu wangu ninaoau mpaka nitawadh

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwi