nyumba /Fatwas /utwahara /Wudhuu Unatenguka Akimgusa Mkewe?

Wudhuu Unatenguka Akimgusa Mkewe?


SWALI: Ninalo swali: nikiwa nimesha tawadha naweza kumgusa mume wangu/au mume kumugusa mke wake inateuwa uthu Naomba jibu Asante

JIBU: Maulamaa wamekhitilafiana katika jambo hili kama kumgusa mke kunatengua wudhuu. Na rai iliyo sahihi kabisa ni kwamba wudhuu hautenguki kwa k