nyumba /Fatwas /utwahara /Wudhuu Unafaa Ukivaa Pete?

Wudhuu Unafaa Ukivaa Pete?


SWALI: Assalam alaikum, Swali langu ni hili: je mtu akitawadha na anavaa pete inayomubana nakisha aka suali suala inakubaliwa

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwis