nyumba /Fatwas /swalah /Watoto Wakipita Mbele Ya Mwenye Kuswali Au Kumkalia Swalaah Inafaa?

Watoto Wakipita Mbele Ya Mwenye Kuswali Au Kumkalia Swalaah Inafaa?


SWALI: salam alaikum ndugu zangu waislam shukrani nyingi kwa alhidaaya inshaallahallah atakulipeni. suala langu ukitaka kuswali kama kuna watoto wadogo wanakupitia katika swalah mara wanakuja kukukalia je swalah yako iko sawa?

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mp