nyumba /Fatwas /utwahara /Wakati Wa Mwisho Kukoga Janaba Katika Mwezi Wa Ramadhaan

Wakati Wa Mwisho Kukoga Janaba Katika Mwezi Wa Ramadhaan


SWALI: Asaalam alaykum, Ningependa kujua ni wakati gani wa mwisho naweza kukoga janaba katika mwezi wa Ramadhani

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala), Mola wa viumbe vyote. Swala na salamu kwa kipenzi chetu, Nabii Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), ahli zake na Masahaba zake na watu wema mpaka Siku ya Qiyaamah. K