nyumba /Fatwas /utwahara /Vipi Kuondosha Wasiwasi Wa Mashaka Ya Najsi

Vipi Kuondosha Wasiwasi Wa Mashaka Ya Najsi


SWALI: Asalam alaikum ndugu waislamu Mbele yayote naomba Mola abariki kazi munazozifanya na awalipeni. Mimi ninatatizo ambalo linanisumbua mpaka wakati mwengine huwa nasikia kama kichwa kinanizunguuka, na tatizo hili nilamashaka,yaani naweza nikato

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu