nyumba /Fatwas /saumu /Utata wa Kufunga Swawm na Kufungua Kutokana Na Kutofautiana Kuhusu Mwandamo Wa Mwezi

Utata wa Kufunga Swawm na Kufungua Kutokana Na Kutofautiana Kuhusu Mwandamo Wa Mwezi


SWALI: Assalama alaykum Naomba kuuliza tena swali langu niko uturuki nanchi hii wanafuata kalenda na sie ijumaa tumefunga kuja kufunguwa alhidaya nikaona tangazo ndio nikaamuwa kuuliza hili swala je hiyo ijumaa itakuwa tumefunga bure? Na wakila iddy

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mp