nyumba /Fatwas /utwahara /Uhakikisho Wa Kuvunjika Wudhuu Katika Swalah

Uhakikisho Wa Kuvunjika Wudhuu Katika Swalah


SWALI: Nini au vipi kujua kuwa umetokwa na upepo na udhu wako unakuwa umevunjika Nimesikia kuwa usikie sauti; hii sijafahamu, je ina maana usikie kwa sauti kubwa kuwa upepo umekutoka Pia nitashukuru kupata maelezo ya upepo na harufu mbaya. Jazza

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya