nyumba /Fatwas /utwahara /Tohara Ya Nguo Za Ndani Za Wanawake Katika Kufanya Wudhuu – Je Zinapokuwa Zina Maji Maji Huwa Ni Najisi?

Tohara Ya Nguo Za Ndani Za Wanawake Katika Kufanya Wudhuu – Je Zinapokuwa Zina Maji Maji Huwa Ni Najisi?


SWALI: Assalam aleykum, poleni sana na majukum mlionayo ya kujibu maswali yetu inshaallah allah subnhahu wa-taala awalipeni leo dunian na kesho akhera, swali langu ni kwamba mara nyingi huona wadada wakivua nguo zao za ndani wanapotaka kutia ud

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik