nyumba /Fatwas /utwahara /Tofauti Baina Ya Manii Na Madhii Na Hukumu Zake Za Ghuslu

Tofauti Baina Ya Manii Na Madhii Na Hukumu Zake Za Ghuslu


SWALI mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 na sijaolewa na pia ni mwislam safi na najiamini na pia nina imani katika dini yangu na namwomba MWENYEZI MUNGU anizidishie mimi na wewe INSHAALAAH NA WAISLAM WOTE AMINI. ninatatizo moja nalo ewe utakay

JIBU: BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu wa Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa ba’ad: Inaonyesha kutokana na usemi wako kwamba yanayokutoka ni 'madhiy' na sio 'maniy'. Na kuna tofauti katika vitu hivi viwili kama if