nyumba /Fatwas /swalah /Takbiyrah Ya Ihraam Ni Yenye Kutangulia Au Du’aa Ya Kufungulia Swalaah (Inayoitwa Na Wengine Tawjiyh)?

Takbiyrah Ya Ihraam Ni Yenye Kutangulia Au Du’aa Ya Kufungulia Swalaah (Inayoitwa Na Wengine Tawjiyh)?


SWALI: sheikh assalaam alaykum kama nilivyotangulia mwanzo kuomba radhi kwa kuingia bila kurusika ktk uwanja huu wa maswali, sheikh ningeomba unifahamishe kidogo, hivi unapomaliza kukimu swala kwanza unapiga takbira ihram au unasoma dua ya kufungulia

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku y