nyumba /Fatwas /saumu / Swawm Yake Inakubaliwa Ikiwa Hasemi Na Mume Wake?

Swawm Yake Inakubaliwa Ikiwa Hasemi Na Mume Wake?


SWALI: swali kuhusu funga yangu kama inakubaliwa kwa sababu mimi na mume wangu hatusemi wala hatuna masikizano muda wa miezi . nataka kujua kama funga yangu inakubaliwa tunaishi pamoja na anakula ndani ya nyumba lakini hasemi na mimi .nisha muelez

JIBU: Sifa zote njema anastahiki Allah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Sik