nyumba /Fatwas /saumu /Swawm Ya Nabii Daawuud Ukianza Kufunga Lazima Uendelee Haifai Kuacha?

Swawm Ya Nabii Daawuud Ukianza Kufunga Lazima Uendelee Haifai Kuacha?


SWALI: Swawm ya Nabii Daawuud Asalam alay kum warahmatullahi wabarakatuh Mimi nataka kuwa nafunga swaumu kama ile ya nabiyyullahi iberaahiym na kula leo na funga kesho lakini mimi napenda kusafiri sana sasa inajuzu kwangu kufunga swaumu hiyo ama uki

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya