nyumba /Fatwas /saumu /Swawm Ya Arafah Ipi Sahihi Kufunga Kwa Kuwafuata Hujaji Au Kufuata Nchi Uliyoko

Swawm Ya Arafah Ipi Sahihi Kufunga Kwa Kuwafuata Hujaji Au Kufuata Nchi Uliyoko


SWALI: ASSALAAM ALAYKUM NDUGU ZANGU KATIKA IMANI NAOMBA KUULIZA KATI YA MWEZI TISA NA MWEZI NANE NI SIKU GANI NI SAHIHI KUFUNGA ARAFA? NAOMBA UFAFANUZI WENU

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mp