nyumba /Fatwas /hijja /Swalah Za Uzushi KuhusuTahajjud Na Usiku Wa Ijumaa

Swalah Za Uzushi KuhusuTahajjud Na Usiku Wa Ijumaa


SWALI LA KWANZA: ASSLAAMUALYKUM NDUGU ZANGU, NAOMBA KUWA ULIZA NISAIDIENI, NIMEPEWA KARTASI ILIYIANDIKWA SUNNA ZA KILA SIKU USIKU---YAANI KUZISALI TA FAUTI MFANO: USIKU WA ALKHAMIS - WAKUAMKIA IJUMAA SALI RAKAA 2 KILA RAKAA BAA

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku y