nyumba /Fatwas /swalah /Swalaah Za Sunnah Lazima Zisomwe Na Surah?

Swalaah Za Sunnah Lazima Zisomwe Na Surah?


SWALI: Suna waweza sali bila kusoma sura 2? Maana huku nilipo ughaibuni naona wenzetu wa Senegal na Gambia mtu anakim swala tu kesha kwenda kusugud nashindwa kuelewa hili.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik