nyumba /Fatwas /swalah / Swalaah Ya Witr Inaswaliwa Vipi Na Vipi Kutia Niyyah?

Swalaah Ya Witr Inaswaliwa Vipi Na Vipi Kutia Niyyah?


SWALI: nategamea muko katika hali ya afya njema na ramadhan karim mimi nina suala langu kuhusu salaa ya witri .witri inasaliwa rakaa moja ,tatu ,tano,ambazo rakaa zisizogawika kwa mbili ama sivyo na wengine wanasema utakaposali rakaa tatu haifai kusa

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka