nyumba /Fatwas /swalah /Surat Al-Faatihah Ikikosewa Kusomwa Na Imaam Swalaah Yake Au Za Maamuma Hubatilika?

Surat Al-Faatihah Ikikosewa Kusomwa Na Imaam Swalaah Yake Au Za Maamuma Hubatilika?


SWALI: Asalam alaykum warrahmatullah wabarakat swali langu ni kwamba kukosea kuisoma vizuri surat FATIHA kunaharibu swala? na kama imam ndio kakosea kuisoma surat FATIHA, je swala za watu wanaomfuata pia zinaweza kuharibika?

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku