nyumba /Fatwas /saumu /Sindano ya Ganzi na Kung#039;oa Jino Inavunja Swawm?

Sindano ya Ganzi na Kung#039;oa Jino Inavunja Swawm?


SWALI: Assalam alykum Naomba mnifahamishe kuhusu shindnao ya gazi. Ikiwa mtu kapigwa shindano ya gazi anapotolewa jino, na alikua kafunga sasa aendelee na kufunga au itambidi alipe funga yake Assalam Alyku.

JIBU: Sifa zote njema anastahiki Allah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho