nyumba /Fatwas /swalah /Siku Ngapi Inahesabika Kuwa Ni Msafiri Hata Afupishe Swalaah?

Siku Ngapi Inahesabika Kuwa Ni Msafiri Hata Afupishe Swalaah?


SWALI: Asalam aleykum, swali langu ni hili, ni siku ngapi msafiri anaweza kuswali swalah za mkato?

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wem