nyumba /Fatwas /zaka /Nyumba Ya Kodi Inatolewa Zakaah?

Nyumba Ya Kodi Inatolewa Zakaah?


SWALI: ASALAM ALAYKUM? JE IKIWA NINA NYUMBA AMBAYO NAPANGISHA NA NAPATA KODI NILAZIMA NIITOLEE ZAKA

JIBU: Shukran kwa swali lako hili kuhusu Zakah ambayo ni nguzo muhimu sana katika Uislamu. Ikiwa nyumba hiyo ni ya kukaa mtu mwenyewe basi hiyo haina Zakah. Lakini ikiwa ni nyumba ya kukodisha basi itabidi itolewe Zakah kwa mujibu wa maelezo haya chini