nyumba /Fatwas /saumu / Nini Hukmu Ya Swawm Ya Mwenye Kunyonyesha?

Nini Hukmu Ya Swawm Ya Mwenye Kunyonyesha?


SWALI: Assalam aleikum, Samahani kiswahili changu si kizuri so i will ask in english : Alhamdullilah i had a baby girl two months ago and am breast feeding at the moment,i try to fast one day at a time as am breast feeding, am i exempted from

JIBU: Sifa zote njema anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw