nyumba /Fatwas /saumu /Niliposukutua Maji Yalishuka Kooni Bila Ya Kukusidia Kuyameza Je, Swawm Yangu Imeharibika?

Niliposukutua Maji Yalishuka Kooni Bila Ya Kukusidia Kuyameza Je, Swawm Yangu Imeharibika?


SWALI: asalam aleikum ndugu zangu wa islam nafuraha sana kukuwauliza swali namukaweza kunijibu mungu awajeze kheri nafanaka.swali langu nihili nilikua nimefunga nikawa namafua nakifua kidogo wakati nimeenda kutawadha wakati wakuskutua mdomo nikaskia

JIBU Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku