nyumba /Fatwas /utwahara /Nashindwa Kuoga Janaba Kutokana Na Baridi Kali, Je, Nitawadhe Tu?

Nashindwa Kuoga Janaba Kutokana Na Baridi Kali, Je, Nitawadhe Tu?


SWALI: mimi nimeoa na ninapata shida kuoga baada ya kustareh na mke kwa sala ya fajr kwa sababu ya baridi nyingi huku je udhu inasihi au lazima nioge tu kwa dhikinasubiri jibu na tafadhal mkiwa na nakala zozote za dini na msahafu naomba mnitu

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwi