nyumba /Fatwas /swalah /Namna Ya Kuswali Swalaah Za Sunnah

Namna Ya Kuswali Swalaah Za Sunnah


SWALI: Ulinieleza kuwa swala za Sunna ni rakaa mbili mbli hapo nimekufahamu lkn hizi rakaa 2 unaziswali kikamilifu kwa kumalizia na shahada, kumswalia Mtume swala watu Aayhi Wa Salaam na dua au inakuwaje

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku