nyumba /Fatwas /hijja /Mwanamke Mwenye Kupata Hedhi Akiwa Katika Hajj Afanye Nini?

Mwanamke Mwenye Kupata Hedhi Akiwa Katika Hajj Afanye Nini?


SWALI: Assallam allaikum warahmatullah wabarakatu, Ndungu wahusika, sina shaka email hii itawafika katika hali nzuri na afya njema Baada ya salam ningeomba kuuliza swali juu ya ibada ya Hijja. 1. Je Mwanamke anapokuwa katika ibada ya hijja kwa bahati

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish