nyumba /Fatwas /utwahara /Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kumdhukuru Allaah Na Kutaja Majina Yake Mazuri?

Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kumdhukuru Allaah Na Kutaja Majina Yake Mazuri?


SWALI: Asalamu aleykum warahmatullahi warakatuh jina langu naitwa …….... kutoka ………. Suali langu nihili mimi kila usiku nikilala nasoma ayatulkursy jee nikiwa katika hedhi yafaa kusoma ama nidhambinapia kut

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpak