nyumba /Fatwas /utwahara /Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kuingia Katika Chumba Cha Kuswalia?

Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kuingia Katika Chumba Cha Kuswalia?


SWALI: Assalam aleykum warahamatullahi wabarakatu swali langu la leo ni kuwa hapa chuo naposoma waislamu tumejiunga na tumeanzisha chama cha kufundishana kuhusu Uislam, hapa hostel tunasehemu inaitwa prayer room.. sasa swali langu linauliza je m

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik