nyumba /Fatwas /utwahara /Mwanamke Akitokwa Na Majimaji, Je, Aoge Janaba?

Mwanamke Akitokwa Na Majimaji, Je, Aoge Janaba?


SWALI: Assalam Alaikum ndugu zangu wa Alhidaya. Je mwanamke akiwashwa katika uchi wake wa mbele ilhali hana hamu na mwanamume yeyote, akajikuna mpaka maji yakatoka na bado muwasho ule usiishe je anatakikana kuoga janaba, muwasho huu ni wa k

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik