nyumba /Fatwas /zaka /Muajiriwa Kazi Anayepokea Kila Mwezi Anatakiwa Atoe Zakaah?

Muajiriwa Kazi Anayepokea Kila Mwezi Anatakiwa Atoe Zakaah?


SWALI: Assalam alaikum w.w? Swali langu ni kuhusu Zakaah. Je kama sisi wenye mshahara kwa mwezi mfano anae pokea alfu hamsini 50.000 Za Rwanda (Dollar 100 ni 55.000Frw), ao mwenzangu anae pokea 120.000 Frw ivo Zakaah yetu itatolewa kivipi kwa hesabu

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya