nyumba /Fatwas /zaka /Mkimbizi Anapokea Pato La Serikali Kwa Kudanganya, Je, Anaweza Kutoa Zakaah Dhahabu Zake Au Sadaqah Na Hizo Pesa?

Mkimbizi Anapokea Pato La Serikali Kwa Kudanganya, Je, Anaweza Kutoa Zakaah Dhahabu Zake Au Sadaqah Na Hizo Pesa?


SWALI: Assalaam alaykum Warahmatullah Wabarakatuh,ama baada ya maamkizi hayo mema ya kiislam sina budi kmshukuru ALLAH AZZA WA JALLA kwa kuniwezesha kuvuta pumzi leo hii na kukaa hapa ili kuwasilisha swali langu. Pili shukran alhidaaaya kwa mengi mem

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Sik