nyumba /Fatwas /saumu /Mke Kumkimbia Mumewe Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

Mke Kumkimbia Mumewe Nini Hukmu Ya Swawm Yake?


SWALI LA KWANZA: Swali langu lahusu NIKAAH Ikiwa mke kamkimbiya mumewe na mume anamtaka arudi kuendeleza ndoa yao ili isivunjike kisha mke akatae kabisa kurudi kwa mumewe, nini hatma ya mwanamke huyu? Wa 'Alaykumus Salaam, SWALI LA PILI: Funga ao

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya