nyumba /Fatwas /zaka /Mdaiwa Anafaa Atoe Zakaah?

Mdaiwa Anafaa Atoe Zakaah?


SWALI: Assalam aleikum warahamtullahi wabarakatu. Mimi nimfanya kazi nalipwa mshahara kila mwezi, pato langu kwa sasa haliniwezeshi kuweka akiba lakini niko na pesa benki na nimekopesha watu pesa kitambo ambao bado hawajanilipa. Mwaka jana nilipatwa

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik